Main menu

BODI YA WAKURUGENZI YA RUBADA YAMALIZA MUDA WAKE

Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya uendelezaji wa bonde la mto Rufiji (RUBADA) imemaliza muda wake tarehe 04/07/2016. Bodi hiyo imekaa kwa kipindi cha miaka mitatu tangu tarehe 04/07/2013 chini ya Prof Lucian A. Msambichaka na wajumbe wafuatao:

1.      Eng. Raphael L. Daluti

2.      Eng. Bashir J. Mlindoko

3.      Bi. Nkuvililwa A. Semkanga

4.      Prof. Henry F.  Mahoo

5.      Eng. Hosea Mbise

6.      Dr. Ben E. Mosha

7.      Mr. Gasper V. Luanda 

8.      Bi. Eline S. Sikazwe

  

 Soma taarifa ya utekelezaji na mafanikio ya bodi ya wakurugenzi ya rubada kwa kipindi cha miaka mitatu – 2013/14   – 2015/16 iliyowasilishwa kwa waziri wa kilimo mifugo na uvuvi

 Picha ya Pamoja ya baadhi ya wajumbe wakiwa na kaimu mkurugenzi wa Rubada Dr. Deogratias Lwezaura

 

 Picha ya Pamoja ya baadhi ya wajumbe wakiwa na kaimu mkurugenzi wa Rubada Dr. Deogratias Lwezaura

FacebookG+Twitter